Unasumbuliwa na harufu mbaya au shimo la choo kujaa?
Njoo Tukujengee Mfumo MPYA Unaotumia JOTO & GESI Kufanya Choo Chako Kisijae au Kutoa Harufu Mbaya Daima
Tayari Tumejenga Mifumo Zaidi ya 100+ Kwenye Projects za Serikali, Taasisi za Kidini, Viwanda, Nyumba Kubwa & Nyumba za Kawaida na
... Unapata Mfumo Wako MPYA Ndani ya Siku 4 Tu!
Kwanini Utuamini?
Tumesajiliwa na msajili wa makampuni wa Serikali BRELA kwa usajili namba: 168734263
Angalia cheti cha usajili wetu hapa chini
Tumeaminiwa na TAZARA
Angalia hizi nakala hapa chini:
Tumeaminiwa na National Housing Corporation (NHC)
Angalia nakala ya uthibitisho hapa chini:
Viwandani Pia Tumeweka Mifumo Mipya
Angalia project tulizofanya hapa chini:
Taasisi za Dini Pia Zimetuamini
Angalia uthibitisho hapa chini:
Tumeweka Mifumo Katika Miji Mikubwa na Nyumba za Biashara Pia
Angalia baadhi ya projects hapa chini:
Tumeweka Mifumo Mipya Katika Nyumba za Makazi
Angalia uthibitisho hapa chini
Haya tuje sehemu unayoisubiri kwa hamu sasa...
Napataje Mfumo Wangu Mpya?
Maneno yasiwe mengi...
Hapa mkononi nina vifurushi vitatu. Naomba uchague kinachoendana na mahitaji yako:
Familia
Tsh. 1,300,000/
Tsh. 1,500,000/
Hapa Utapata
Kunitumia meseji WhatsApp. Unambie Site yako iko wapi... Nikupe Maelekezo yanayofuata.
Biashara
Tsh. 1,500,000/
Tsh. 1,850,000/
Hapa Utapata
Kunitumia meseji WhatsApp. Unambie Site yako iko wapi... Nikupe Maelekezo yanayofuata.
Makampuni
Tsh. 1,850,000/
Tsh. 2,200,000/
Hapa Utapata
Kunitumia meseji WhatsApp. Unambie Site yako iko wapi... Nikupe Maelekezo yanayofuata.
Hatupunguzi Bei... Tunaongeza!!
Hadi unasoma nilichoandika hapa...
Umeona projects zote tulizofanya hadi sasa
Umeona cheti cha usajili wetu
Umeona projects za Serikali
Za viwanda
Za nyumba za biashara
Na za makazi ya kuishi. Kwa ujumla
Ni zaidi ya projects 100+ ila ni vile tu siwezi zianika zote hapa
Kwanini nasema haya yote?
Nachomaanisha ni kuwa:
Hatuna shaka katika utendaji wetu na ndio maana nimekuonesha projects tulizokamilisha. Na kama unajiuliza...
Kwanini Bei Inapanda (Haishuki)
Iko hivi:
Bei inapanda kwasababu...
Site (Maeneo ya kazi) - Changamoto na mahitaji yake huwa ni tofauti
Na sababu ya pili...
Tunachoangalia zaidi ni Ubora wa Kazi na Sio wingi wa kazi na ndio maana:
Kwasasa tunafanya kazi na wateja wachache tu ambao wanataka kazi nzuri na yenye Ubora
Tunakupa Warranty ya Miaka 3 Inayohusisha Marekebisho
Ambayo utayapata iwapo tu
Utakutana na changamoto ya kuharibikiwa mfumo wako ndani ya kipindi cha miaka 3
Lakini Sisi ni Nani?
Sisi ni Kampuni ya Ujenzi iliyojikita katika ujenzi wa Mifumo MIPYA ya mashimo ya vyoo yanayotumia Sayansi ya Joto na Gesi.
Tuna uzoefu wa miaka 3+ kazini. Tumeshajenga mifumo zaidi ya 100+ katika mikoa na maeneo mbalimbali hapa nchini kuanzia - Dar es Salaam, Morogoro, Pwani, Dodoma, Mwanza, Iringa, Tanga, n.k
Tunapatikana Ubungo Dar es Salaam. Na Cheti chetu cha usajili ni hiki: